1 Corinthians 16:5-7

5 aBaada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. 6 bHuenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo. 7 cKwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana akipenda.
Copyright information for SwhKC